Kitu nimejifunza kwa biz ni never give up hata kama unapata doo kidogo aje watu wanaanza from chini to juu na kuna time ya siku mbaya na time ya siku poa so unakuwa patience with everything