Kitu nimelearn about biz challenge this year ni ati kwa biz hakuna urafiki .msee anakopa goods unabaki ukimdai mpka we mwenye we unajidharau juu unaend up kuingia kwa savings zako kulipa supplier