
kitu nimenote kwa hii biz ya marketting biz is that when you are pro active you are able to gain many customers. pia nimejua kuwa good customer relations and good customer servicws are the one huvuta customer kununua bidhaa zako hasa wakati umewatreat kama wao ndio the holder and financier wa biz yako. knowing that they need to be respected. #tujijenge
0
0
0