
Kitu ya kwanza ni plan ....
Note down kila kitu yenye unatakikana nayo dor a start kama iyo kibanda yenyewe, vyombo na food stuffs zenye utahitaji...
Research, tuanze na kibanda utaiweka wapi, you search for the location na inafaa ikue ina busy area ...mostly naonaga buz mob hupick either umeiweka kwa garage or karibu na garage those mechanics eat tena vizuri sana, vyombo unaeza enda kuangalia kamkunji juu ni way cheaper utapata na wholesale mostly watu hutumia zile za metals ama niseme za mabatiš¤ na plastics pia ukitembea tembea tu uko utapata kila kitu hadi izo jiko ukiteremka na mpaka gikomba ...food, endea unga na wholesales ...enda kwa duka za wholesales zingine wanauza na retail price but cheaper than kwa duka na once in a while unaeza pitia supa utapata na offer, kitu kama chai endea maziwa unauziwa per litre like me nauza maziwa ya kupima, naeza sema nikuchukuliange me nikichukua zangu or ata ukiongea na msee ako karibu na wewe ata kama una add 5bob atleast akuuzie juu utakuwa customer wa daily ...kama anachukua na 60bob anakuuzia na 65....
Marketing, unaeza post kwa social media platforms zako na ueke namba na location , then unaeza kuwa na barner ueke hapo kwa kibanda na list ya food unaoffer , sometimes unaeza fanya promotion kama customer week unapiga hesabu zako vizuri then unaoffer izo promotions , nani hapendi promotion ....na pia ukilaunch unaeza promote iyo wiki tu moja..
Sales, price food at a reasonable prices...usikue na tamaa ya profit mingi juu hii ndio huangusha