KPLC walifanya ile maneno jana, and ili affect most areas nchini.
Pale Kitchen wewe umekuwa affected aje? And incase ingesonga for another day, the food iko kwa fridge ungedo nayo aje?