
KRA Chairman ame-table case in Parliament defending the Finance Bill 2025, especially Clause 52, yenye inataka kufuta Section 59A(1B) ya Tax Procedures Act ā hii section ilikuwa inazuia KRA kuaccess trade secrets ama personal data when integrating systems.
Chairman anasema hivi ndio situation iko:
Kuna 20 million KRA PINs ziko registered.
Lakini ni 10 million pekee ndio wanafile returns.
Na kati ya hao 10M, 6 million ni nil returns (hakuna kitu wanalipa).
So, 16 million PINs hazileti tax... swali ni: ziko wapi hizi PINs?
Watu hawa earn income ama ni kulenga kulipa tax?
š Weka maoni kwa comments.
0
0
0