KRA wako na plan ya kumaliza filing annual returns manually.
From January, ni kuweka tu ID yako and then system ya KRA ina auto-fill details.
Ni move fiti?