
Krisii ndio hii hapa na tunashukuru God that despite challenge ya Covid-19 bado tuko fiti tukipiga hustle. Thanks to Mesh Community kwa kukam thru kutujenga loans za kuboost biz zilikuwa zinaenda vibaya. Covid imetuaffect in so many ways. However, nimelearn vitu kadhaa;-
- Tusirely kwa only one source of income, especially kwa wasee wako kwa mshahara monthly.
- Tunafaa kuwa ready kwa chochote na pia tukuwe ready kuadjust na situation vile inakam.
- Tuappreciate time na life yako coz hujui kesho itakuwaje.
- Pia tupendane kama wasee kwa community ndio shida ikikam tusikuwe na roho ngumu kusaidiana.
- Manze technology ni kitu important sana kwa life yetu. Imetusaidia kufanya meetings na wengine kufanyia job mtaani tu bila kumingle na wasee na kukeep safe.
Tusisahau pia kuna Omicron Variant. Tuendelee kukeep safe tukiLinda Fam.
#SisiNiMESH #StrongerTogether #KrisiNaMESH
0
0
0