
Ku-Build Loyalty: Customer ni Key kwa Biz!
Kama unataka ka-shop kako ka-retail ka-grow, focus on wale wasee wanarudi tena na tena. Usiwa-treat kama ordinary customers, greet them by name na usiogope kuwapigia offer kidogo β ata small discount inaweza kumake wasee warudiπππ
. Wakiingia shop, jaribu kuconnect nao, "Ile kitu ulitafuta last time iko?" Hizo moves ndogo zita-kam through na kuleta loyalty β na hiyo ndo inabeba biashara yako long-term.
0
0
0