
Ku drive hii Kanairo ukuja na lots of frustration. Na kila mtu huku nje ako na hasira. From makarao wa traffic, fellow driver, pedestrians... na ndio hapo nahamasisha mwanzo youths, kama ni road-rage we chapa ukiwa kwa gari yako, usichukue sheria mkononi mwako.
Story ya Ian Njoroge ina show vile a split second bad decision inaeza kuletea ngori noma. Stay safe, protect fellow road user, respect traffic rules na offices natuendelee kujituma.
0
0
0