
Ku lean hustling while nikiwa mtoi ilikuwa such a huge challenge. Used kwenda events kutake pics and videos na mathe. Hii hustle ndio ilikuwa inanisaidia ku raise pocket money and funds za shule. To some extent the long holiday ilileta ka break but with new directives za no gathering ilileta pia challenges nyingi kwa my side hustle. But with new challenges lazima you learn something. Mimi what I learnt hii season is NETWORK. I met a friend while hustling and from him alini link na #ShujaazProducers a blessing yenye ilikuja as a result ya working under stressful environment iliyoletwa na Covid. #Tujijenge
0
0
0