Ku-market biz inafaa ukue friendly na kila msee,Unaweza share photo za biz yako online you can also ask your friend wapost pia kwa status zao na media,