
Ku-refill gas uko kwenu ni million ngapi?
Kuna measure nimekuwa niki try out and proving positive, ways za ku save ka-gas kangu.
🧯 Na plan meals zangu in advance na ku make sure kila ingredients iko ready kabla ni ka-washe. 🧯 Na pika na Lid, making sure na cover kila sufuria ndio dema ipikike haraka by retaining heat na ina speed up upishi. 🧯 Nafundisha family members hizi tricks za ku save ndio ikuwe resposibility yetu sote. 🧯 Na make sure all burners ziko switched off na hakuna any leakage.
Wewe umekuwa una save gas yako aje? Please share na sisi kwa comment section.

0
0
0