
Ku-scale biz ni muhimu sana,baadhi ya ideas za kujenga Samson ni kama;
-
Expansion Strategy: Anza kwa kufikiria kuongeza maeneo mapya ya biashara. Angalia maeneo ambayo yana mahitaji ya bidhaa zake lakini hayajafikiwa na biashara yake.
-
Product Diversification: Kujaribu kuingiza bidhaa mpya au kuziendeleza zilizopo ili kuvutia wateja wapya au kubadilisha uzoefu wa wateja wa sasa.Kama kuongea more flavours.
-
Customer Loyalty Programs: Kuanzisha mipango ya kuwazawadia wateja wa kawaida kama vile alama za uaminifu au punguzo za kipekee kwa wateja wa mara kwa mara.
-
Collaborations: Kushirikiana na biashara nyingine katika eneo lao la biashara kwa kubadilishana matangazo au hata kutoa bidhaa za pamoja.
-
Market Research: Kufanya utafiti wa soko ili kuelewa mahitaji na matakwa ya wateja wake kwa undani zaidi na kurekebisha biashara yake kulingana na matokeo ya utafiti huo.
I believe hizo ideas zitajenga samson vifiti sana