Ku-show up kwa Auditions hukua kitu muhimu sana,,hapo ndo connection na networking hupatikana ka wasanii,,,we ka artists umeattend auditions ngapi so far? Tuchapie experience ilikuaje?