
Ku turn creative product to mullah nayo ni hell of journey. Am sure wengi wenye wako kwa creative industry hii mnaeza attest. Mimi niko na few ideas ya vile unaeza turn talent to cash. Ongezea zingine hapo chini ndio kama kawa #Tujijenge
- Njia ya kwanza ni usikuwe mchoyo, train wasee wengnine and waitishe kakitu
- Chapa freelancing, unaeza apporach firm and uwashow talent ama utumie site kama Fivver and offer services hapo.
- Create a digital product ya hio talent yako, na hapa ndio sasa Content Creator inakuja.
Share zingine hapa chini ndio #Tujijnge

0
0
0