
KU’VENTURE BIZ MBALI NA HOME
Biz yako iko kwa hood uligrow in ama ulihave kushift? Kuna challenges kadhaa ukuja na ku’venture biz yako home base. Kabla nikuchapie experience yangu chapa Join kwa BIZ 101 group ndio kama kawa #Tujijenge.
Mtito Andei ndio town nilianza biz yangu ya J-Link ITtech. Hii town ilikuwa new kabisa kwangu and sikuwa nimewahi kaa for even a day prior. Nilikuwa na vigezo kadhaa zilini drive ku’venture far from home. And kinda feel, nilifanya the correct decision otherwise ingekuwa hard kubreak even kama ninge opt ku’do it differently.
Sababu ya kwanza niku try and separate ubeste, family relationships na biz, juu kukuwa hood yangu inge prove kuwa hard kucut ma beste ile design ya kuonesha biz na ubeste ni vitu tofauti. Reason ingine niku meet new people and ku learn different ways za ku do things, hii nayo ni vital kusaidia personal/biz growth juu nacome na knowledge ya hood yangu and na learn ya the new place. The other ilikuwa applicability ya biz idea yangu in a new town and place biz inge’do well.
So Kwa comments section nichapie vigezo uli observe time ulikuwa una start biz, either kwa, ama away from home ndio #Tujijenge zote.
#ShujaazBiz #Tujijenge