
Kuchagua jina ya biz kwanza lazima the name icatch attention ya wader,yaani iwe unique and catchy. Secondly lazima jina ya biz iandamane na your type of biz mfano kama ni cosmetics lazima jina yako iwe na a touch of that,ndio msee akisaka cosmetics ata social media platform,jina yako utakuwa hapo. Thirdly, jina ya biz yako iwe short na si complicated,kitu mtu anaweza cram na aweze kuijua kwa urahisi. Ni hyo tu
0
0
0