Kucheza Aviator iliangusha biz ya hoteli ya Mirriam pale Uthiru. After winning 264K hakujua kuwa pilot ingekua trap. Ndio amerudi Nairobi juzi kuanza afresh.
Mtu anaweza stop betting addiction aje?