
kuchoma mahindi...ukininunua in bulk moja utanunua approximately close to 10 bob each(inaeza kuwa 7) unachoma unauza 30/40 bob each. Expenses ni makaa stand chumvi/pilipili. Averagely place kuna traffic unauza more than 80 pieces. That's from 2400 to 3200! a day. Toa makaa and all ubaki umeshangaa
0
0
0