
Kuchukua car loan is one of the most common loans for Kenyans. But kuna ujanja unaeza tumia kujua if you can afford that loan.
It's the 20/4/10 rule
Make sure unaeza weka 20% deposit kwa hiyo gari
Unafaa uweze kuilipia in 4 years or less
Hufai kuspend more than 10% of your income kwa transport costs
If it doesn't fit hii rule, then hio moti is too expensive for you
0
0
0