
KUFANYA GIGS ZA WEAVING NAZO INAKUANGA NA CHALLENGES ZAKE SANA SANA IN KENYA.
-
TIME CONSUMING: Weaving nayo inachukuaga a lot of time na process ni refu. Inahitaji patience na dedication.
-
SOURCING QUALITY MATERIALS: Kupata high quality materials kama, yarns, fibres, ama dyers hukua tricky sana.
-
MARKET DEMAND AND COMPETITION: Kama artist inakuanga tricky sana kupata soko ya weaving products zako.
-
PRICING NA FINANCIAL STABILITY: Kuweka a fair price kwa artwork yako hukua challenge sana.
Despite ya hizi challenges, kuwa a weaver artist huwa rewarding sana. Msee kuwa na ability yaku create unique arts huwa worth it.

0
0
0