
Kugrow biz yako ni important sana kunetwork na watu wengi Easiest way ya kunetwork ni using common grounds e.g Apo kazini,shule,mtaani... Anza mapema kunetwork usingoje tu when you need opportunity.Ni rahisi kunetwork kama hakuna urgent need e.g job
0
0
0