Kuintroduce new product kwa market inakuanga challenging sana. Apart from kufanya research poa ya market na product promotion how can i boost sale ya products zangu. #Tujengane