
KUJICHORA WORKS NA UPS AND DOWNS
Hakuna kitu poa kama kujichora job watu wangu, hii idea hufanya mtu akue na freedom of mind, choice, yaani unaeza plan vile unataka biz yako ikue, life yako na pia kua your own boss, but, vitu kama haziendi vile unatarajia, yaani changamoto mob wasee hupitia, wengi wetu hutupa 'towel' yaani huwachana na bizna walikuameanzisha because of the ups and downs na wakaenda kuchorwa works almost same walikua wameanzisha...skatai biz ni challenging na iko na changamoto mob na disappointments, but pia ukiona vitu haziwork jaribu ku source ideas..mneti ni place poa sana ya kupata ideas before ku-give up na bizna yako.
0
0
0