Kujipa kwa kilimo ni kwa wale wako ready kujaribu tena even baada ya kwenda mrama.
Usiogope losses. Every season ni chance ya kujifunza na kuboresha!