
Kujua kama biz yako ni successful, wewe unitumia vigezo zipi?
- Kama inaweza kulipa all bills na ikubakishie kakitu?
- Umeweza kufungua extra branches?
- Uko na team kubwa helping you ku run biz yenyewe effective?
- Wasee wataa wanakusifia vile biz yako iko fiti?
- Umeweza kuwa na personal growth, like kununua assets, ku improve yourself na family from returns za hio biz?
- Others ( share na sisi we get to know)

0
0
0