🐔 “Kuku Ni Hustle: But Are You Feeding or Bleeding?” 💸
Wasee, poultry farming si tu kuku na mayai—ni game ya strategy, patience na ka bit of street smarts.
Unajua kuku ni kama customer kwa biz: ukimpa environment safi, chakula fresh na zero stress, anakuletea returns daily. Lakini ukicheza na hygiene ama feed quality, utalia kwa losses.
🔍 Quick Tips:
- 🏠 Space matters: overcrowding = disease.
- 💧 Clean water = healthy flock.
- 🌽 Feed smart: cheap feed = expensive problems.
- 🧼 Hygiene ni key—sanitize kama unarun clinic.
💬 Swali ya leo:
Ni challenge gani umepitia kwa poultry farming na ulisolve aje? Ama kama unataka kuanza, uliza swali moja tu—community iko ready kujengana!
KukuNiBiz #MeshNiBase #HustleNiReal #FarmingWithSwag
0
0
0