
Kukuwa na biz yenye ni effective, mwanzo kwa hii category ya Movers, you also need kuwa na effective staff. And ndio ukuwe na management fiti na staff ita involves a combination of leadership skills, clear communication, the ability to motivate and develop team members.
Na sio tu just those few tips, but a much detailed conversation ya fellow mesher kwa comment section na video fiti from Eunice's vidio ndio hapa. https://meshlife.page.link/...

0
0
0