
Kukuwa na limited capital kwa kilimo inaeza kuwa significant na challenging, juu chedax ni very crucial recourse kwa hii sector.
Most small scale wakulima, tuna operate na limited capital, juu like in my case, the same capital una plow kwa kilimo ndio ina circulate kwa biz, tu other ventures na personal use. Na hapo ndio unaget sisi tuki rely traditional practices, community support na pia innovate approaches.
One of those recourse yenye I come across was: ZIDISHA, https://www.zidisha.org. Hii ni online microlending yenye ina work through P2P model, where individual lenders wana connect DIRECTLY with recipients.
As one of beneficiary, I applied 3 days ago and my project ikakuwa fully funded with funds send directly to my MPESA. Writing compelling reason, kuwa na proof ya what you intent to do, and video ukiwa kwa hio projected made it easier for my project kuwa funded.
