
Kulearn most skills za online hazitaki a lot of capital but utalipa na your time.
Before uanze ku-earn fiti from any of them lazima ujifunze na hapo ndio watu huhepa. Kuwa consistent na tafuta mentor kama unataka kutengeneza doh ama career kwa hizi online jobs.
Piga research fiti na usitrust kila msee.
0
0
0