
Kumake blunder kwa biz ni inevitable. Lazima kuna time utamake some few bad decisions zenye zinzeza wekea biz burden ama loss bonge sana.
But kile kitu vital, ni vile sasa una bounce back from hio setback, and pia zile measures utaweka ili hio blunder isitokee tena. Great weekend fellow MESH'ers
#Tujijenge #FridayAdvice
0
0
0