Kumbe Kuna hustle ingine town na hamsemangi. Kuna hawa majamaa hukaa kwa gari lionekane limejaa. Ukiingia unadhani limejaa kumbe kuna watu wawili watatu tu😂😂. Alafu girl dem pia wameanza kufanya iyo hustle jamani. Eeeh . Wanalipwa 50/- each. #uchumi
0
0
0