Kumbuka form ni kujengana. Ndio customers wakukumbuke product or services zako, a simple logo ya biz yako inaeza impact sana. Neighbour wangu huuza viatu na tumemjenga na moja