
Kumbuka hii life ni yako, mzae na watu wa kijiji wataelewa baadae, sahii ukieza waambia unataka kukua msanii, uingie content creation, na hao walitaka ukue Engineer ama Lawyer, we unaona watakubali kweli? After wamelipa fees all the way to campus?

0
0
0