
Kuna 4Cs za marketing unafaa ku consider Customer-Unafaa kuuza kitu ikona demand ndio umake profit Cost-Ni pesa ngapi unaneed ku advertise.Inadepend kama ni kupost online ama Kupost online alafu una boost post.Kuboost post ni kulipa e.g Instagram so that post yako ifikie more people. Convinience-Product yako wataipata wapi ama wanaeza ipata aje Communication-Unabonga na customers wako aje e.g through social media.Inasaidia kubuild relationship na customers
0
0
0