
Kuna a lot of conspiracy, misinformation ama worries around hii risto ya gava ya "Livestock Vaccination"
Maoni yako kama mkulima ama consumer ni gani? Utakubali your mifugo kuwa vaccinated ama kubali ku-consume products za a vaccinated livestock?
0
0
0