Kuna away ma online scammers manze yaani msee anakutumia pic smart za manguo na viatu, wacha tu ujaribu kuwatumia doh manze at a account za WhatsApp uwezi mget tena kuenda akiendanga