Kuna beshte yangu Ako na motorcycle anafanya boda anataka side hustle yenye inaeza ingiza pesa budget yake ni 10k at least ziwe zikisaidiana na boda.