Kuna biashara zingine sijui how people make profit. Hawa watu huuza nguo in boutiques ,how many pieces can you sell in a month ndo ulipe rent ,bills za shop, employee na bado ubaki na profit?