Kuna business ideas zinahitaji ku changamka na kukimbia nazo kama hii ya Denno. Usiwai hesitate uki dandia idea kali ya biz. Unaona biashara yako ikishika vitu zikirudi sawa?
#ShujaazBiz #LindaFam