Kuna business uFlani hukuwa kwa mind yangu. Ya kuprint manguo. Challenge ni kupata hiyo machine ama kujua nini inahitajika ndioy business iweze kurun