
Kuna challenges sisi kama hawkers and retailers tunapitia once in a while kama vile;
1.losses 2.lack of growth 3.time 4.economy mbaya 5.lack of motivation 6.Insecurity kama vile kuibiwa stock.
Ni gani unapitia kwa biashara yako sana na kwa nini
#retailandhawking #mesherdaima
0
0
0