Kuna day flani kwa job ya makucha nilifanya ga blander ,nilipaka customer gell polish then ikatoka within siku tatu,alirudi base akagombana akanikasirisha tukajibizana nikamtusi akaenda ,but aliinfluence customers wengine frends wake pia wakanihama ,ilinicoast vibaya sana. Hadi i hed to kimtafuta nimdhow pole ,lesson nilisoma jo kwa bizz unafaa utake full responsibility ya blander za bizz na pia there is a propper ways za kusort blanders bila hasira ama temper. Just cool down na usort problems.ndizi yangu imeiva wacha niipeleke soko good day wasee
0
0
0