
Kuna day flani nilikuwa so desperate ya kuget doo. So Kuna huyu msee huwa anapost staff Na gambling alafu ma mpesa messages hapo. So nilikuwa naona mbona huyu msee ako doo. So nikaamua kumstua. "Yoh bro, niaje...", So tukaanza kuongea. So like nikamwambia Niko interested kupata hizi winning tickets zako... Juu saa hizo nadai doo mbaya Sana. So the guy akaniambia the ticket costs 1k before na 1k after win. Okay me nikatoka hii deal si mbaya, na kaa Ni sure shida iko wapi. Ata sijui nilitoa wapi,.. nikakopa msee,.. 1500, 1k ya kubuy na Na 500 ya stake. So I did, . Bought the ticket alafu mzee akarelax Sasa, waiting for the winπ π ππ. . Acha Sasa niwaambie,... Sema game kuuma nje,.. dakika ya Kwanza juu nilikuwa nafuatilia kwa Livescores,.. so Jana akakuja akaniambia sijui ticket ilileak ati nimlipe punch ndo anipee recovery,.. saa hizo nalose Kwa muhindi Na yeye at the same time .. the same ticket inauma nje,... Baadae nilirealise huyu msee anaedit staff zake ndo aoshe wasee,.. from that day gambling Na Mimi niliachana kabisaa #ScamStory