Kuna day nikiwa highschool kuna msee alituchapia site flani ati unaingia na minimum ya 300 na kuna group ya WhatsApp waliunda ndo ukuwe unapewa games ya kuweka ndo pesa iongezeke daily like ulikuwa unagain kitu ka 3% daily sa closing day nikaenda kuingia mimi niliingia na 300 lakini kuna wengine waliingia na 5k hadi wakaingiza wazazi wao so tukagain for some time tuseme 1 month hivi na profit yangu ilikuwa 1500 so nikaona hii stuff ni legit so nikaongeza 2k ya pocket money na shopping btw nilikuwa namanagiwa na bro ju alikuwa mtaa na mimi nilikuwa chuo so ikafika point hio website ikafungwa tu bila warning na hivo ndo tulioshwa😂wengine wenye walikuwa wanafiri watapata profit ya 1m wakashikwa na depression 😂💔
0
0
0