Kuna difference ya ku-edit video na kuunda story. Sio kila cut ni lazima. Focus on how it feels, not just how it looks. Ata transition ni ya bure kama haina impact.