Kuna hawa watu wa " mtu mkubwa tu na hauna passport, hauna DL, hauña nyef nyef, Mimi niko na license ya kitu flani hapo huwa narenew yearly na 1500 na niliwahi itumia tu once.