Kuna hii biz wasee huwa hawaoni ka inalipa but i tell you inalipa ...mimi hubake ngumus nasupply kwa maduka kila morning ...nikitoa all expenses sikosangi profit ya 700 daily ...