Kuna hii biz ya football halls, mtu anaeza anza na ngapi? Iko na doh poa kweli? Mtu anafaa kufanya nini ndio akue successful kwa hii venture?
Please 🙏 nichanueni wangwana